Msanii wa kizazi kipya anafaa mika kwa ji Diamond Platnumz
amewasili NAIROBI akikuta mapokezi makubwa kwenye Uwanja wa Ndege wa
Jomokinyatahuku akizungukwa na
wahandishi wa habari na mashabiki wake.
Dk Slaa: Mvumilieni Magufuli.Fahamu zaidi hapa.
BAADA ya kuishi nchini Canada kwa zaidi miaka miwili sasa,
aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Dk. Willbrod Slaa amesema anakuna kichwa ili kupima mazingira
yaliyomfanya aondoke nchini n…Read More
0 comments:
Post a Comment