Saturday 1 August 2015

#YALIYOJIRI>>>Sikiliza Audio ya Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu hapa.

Hii audio inaweza ikawa imevuja wakati mmbaya sana hasa ukizingatia ni kipindi ambacho mpenzi wake Nuh mziwanda, Shilole yupo kwenye matatizo ya kufungiwa kujihusisha na kazi yoyote ya kisanaa. Audio hiyo inaoneshwa ni ya muda kidogo kwasababu Wema anasikika akizungumzia kwenda kwenye KTMA.
Toa maoni yako hapa chini.

0 comments:

Post a Comment