
Watumishi
watatu wa Serikali akiwamo Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Bukoba,
wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba
wakituhumiwa kutaka kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.
Watumishi
hao wanadaiwa kutaka kujipatia fedha hizo baada ya kufungua akaunti
feki iitwayo kamati ya maafa Kagera kwa ajili ya kukusanya fedha za
kusaidia waathirika...