Moto mkubwa unaodhaniwa umesababishwa na shoti ya umeme umezuka katika viwanda vya mbao jirani na stendi ndogo ya mabasi wilayani Kahama mkoani Shinyanga na kuteketeza shehena kubwa ya mbao na mashine za kuchana mbao hali ambayo imezua taharuku kwa wafanya biashara wa mbao na wakazi wa maeneo hayo.
Chanzo ITV
0 comments:
Post a Comment