Baada
ya kupata kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Manchester City katika
Manchester Derby, habari nyingine ambayo siyo nzuri kwa wadau wa timu
hiyo ni hii hapa.
Kocha wa timu hiyo Jose Mourinho amethibitisha juu ya tatizo hilo na kusema kuwa uchunguzi unaendelea.
Jones amekuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara kiasi cha kushindwa kuwa na uhakika wa kucheza katika kikosi cha kwanza, ambapo karika dirisha la usajili lililopita alihusishwa kuuzwa au kutolewa kwa mkopo kutokana na kutopata nafasi mara kwa mara.
Jones amekuwa na uwezo wa kucheza kama beki wa kati, pembeni na mara kadhaa kama kiungo mkabaji.

0 comments:
Post a Comment