Vanessa Mdee katisha sanaa aisee.
Adam Mchomvu kwenye Stage ya Morogoro.
Mama mzazi wa marehemu Albert Mangwea akitoa neno la shukrani kwa wasanii na waandaaji wa Fiesta 2016 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Chegge alikamua vya kutosha
bellachristian1 huyu hapa.
Mkongwe Dully ametisha sanaa.
0 comments:
Post a Comment