Monday, 19 September 2016

#BURUDANI>>>>>LULU Michael Atangaza Kuhitaji Kupata Mtoto.Fahamu zaidi hapa.

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amedai kuwa anahitaji mtoto kwa sasa.
Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagramakimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto.
“Okay…I’m ready noooow😫😫😫😫and I want a Baby Boy😭😭😫In Jesus Name🙏,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo.
Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano na bosi wa EFM, Majay.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment