Friday, 16 September 2016

#MICHEZO>>>Wapiganaji wapya wa "WWE" waja kwa kishindo.Fahamu zaidi hapa.

 Ni kizazi kipya kwa upande wa mchezo wa mieleka kwa sasa kwa kuwa tayari damu changa tunaona zinachukua nafasi kubwa ya kuwashinda wahusika wakuu ambao wamezoeleka katika tasnia hii ya mieleka.
 Mbabe ambaye kwa sasa anakichafua kinoma noma kule WWE huyu si mwingine bali ni Brock Lesnar alimchapa Big Show kisha akaja kumgala gaza Randy Orton.
Lakini katika wababe wa zamani bado wanafanya vizuri pia John Cena na Randy Orton pamoja na Big Show huku mtu kama Tripple H anaonekana kauwa mbabe wa kutoa zawadi kwa washindi muda mwingine anaharibu mchezo.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment