MwenyeKiti wa chama cha Chadema Freeman Mbowe akiwa na wahanga wa tetemeko Bukoba leo kwa lengo la kuwajulia khari na kuwafariji.
Hii ndiyo pole aliyotoa Freeman Mbowe
"Pole zangu za dhati kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Mkoa wa Kagera na mikoa ya jirani. Mungu awape faraja. Tupo pamoja ndugu zangu."
M/kiti Mbowe akiwa anajiandikisha ktk kitabu cha wageni alipotua Bukoba kwa ajiri ya kuwafariji wahanga wa tetemeko
M/Kiti Chadema Freeman Mbowe akiwa na wahanga wa tetemeko Bukoba leo kwa lengo la kuwajulia khari na kuwafariji
0 comments:
Post a Comment