Tuesday 20 December 2016

MAMA Mzazi wa MR Nice Afunguka Baada ya Habari Kusambaa Kuwa Mr Nice Amefariki Dunia.Fahamu zaidi hapa.

Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba msanii wa siku nyingi wa bongofleva Mr. Nice amefariki na mwili wake upo Hospitali ya Taifa Muhimbili.  Mama Mzazi wa Mr. Amesema Haya:

“Kusema ukweli hayo mambo yalisemwa lakini mimi nilizungumza na mwanangu live akasema yeye ni mzima wa afya mimi sikusikia kwenye vyombo vya habari nilisikia watu wakisema ndio nikataka anipigie simu ili niweze kujua hali yake ikoje. Alinipigia tukazungumza” – Mama Mr. Nice

VIDEO:Mwili wa Mwanamke aliezikwa akiwa hai wafukuliwa



Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

 

0 comments:

Post a Comment