Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Mikel Obi atua rasmi ligi ya China.Fahamu zaidi hapa.
Mchezaji John Mikel Obi ambaye hucheza nafasi ya kiungo baada ya kuitumikia klabu ya Chelsea kwa miaka 10 sasa ameondoka na
kujiunga na klabu ya Tianjin TEDA ya ligi kuu ya Uchina.
Obi mwenye miaka 29 ambaye ni raia Wanigeria atakuwa akipokea mshahara wa pauni 140,000 kwa wiki
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
AZAM FC YAANZA KOMBE LA MAPINDUZI KWA KUICHAPA ZIMANIMOTO BAO 1-0.FAHAMU ZAIDI HAPA.
KLABU
Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeanza vema michuano ya
Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Zimamoto bao 1-0, mchezo
uliofanyika jioni hii kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Ushindi huo unaifanya … Read More
WACHINA WAKIWA KWENYE UBORA WAO, PEPE NAYE AFIKIRIA KWENDA ZAKE CHINA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Unaweza kusema Wachina wameleta mambo, maana beki wa kati wa Real Madrid, Pepe naye anafikiria kwenda China.
Hii ni sikh chache baada ya Carlos Tevez kukamilisha usajili wa kwenda China na atakuwa akipokea euro million … Read More
#Breaking News>>>>Boniface Mkwasa sio kocha tena wa Taifa Stars.Fahamu zaidi hapa.
Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres
Boniface Mkwassa, sasa hivi sio tena kocha wa timu yetu ya taifa.
Rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia ukurasa wa twitter ametoa taarifa inayosomeka:&nb… Read More
Kilichosababisha bondia Francis Cheka kufungiwa kucheza ngumi.Fahamu zaidi hapa.
Leo
December 30, 2016 Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBC)
imetangaza kumfungia kwa miaka miwili Bondia wa ngumi za kulipwa,
Francis Cheka kufuatia kitendo chake cha kugoma kupanda ulingoni
kupigana na Bondia Abd… Read More
SIMBA YAANZA VIZURI KOMBE LA MAPINDUZI BAADA YA KUIPA KICHAPO TIMU YA TAIFA JANG’OMBE MAGOLI 2 KWA 1.FAHAMU ZAIDI HAPA.FULL TIME!Mwamuzi anamaliza mchezo Simba inaibuka na ushindi wa mabao 2-1.Dakika ya 90 + 2: Muda wowote mwamuzi atamaliza mchezo.Dakika ya 90: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 2 za nyongeza.
Dakika ya 89: Simba wanatulia … Read More
0 comments:
Post a Comment