Kwa mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa dunia hii tutashuhudia opareshen kubwa ya kupandikiza kichwa cha mtu.
Tarehe ya opareshen ilishapangwa itakua mwezi wa 12,2017
opareshen itafanywa na madaktari na manesi 150 kwa pamoja wakiongozwa na
 daktari mtaalamu wa mishipa ya fahamu(neurosurgeon) Sergio Canavero.
Opareshen inakadiriwa kutumia masaa 34.
Gharama za opareshen hii ni dolla za kimarekani mil 30..Inasemekana kuwa
 dr sergio Canavero alifanya utafiti kwa miaka 30 hadi mwaka huu 2017 
ambapo opareshen hii itafanyika..
Walioko interested na medical issues ngoja tusubili kama itafanikiwa na 
mgonjwa ataishi baada ya hio transplant. Tukae mkao wa kula hadi hio 
December kushuhudia kitakachotokea
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
 









 




 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment