Friday 7 August 2015

#Breaking News>>Ajali ya moto yaikumba Bajaji ikiwa safarini huko Korogwe.

Ajali hii imetokea majila ya saa 5 asubuhi ikiwa Bajaji inatembea cha kumshukulu mungu ni wote waliopanda kwenye iyo Bajaji wamepona.

0 comments:

Post a Comment