Friday 14 August 2015

#Breaking News>>>Irene Woya ashinda Viti maalum kupitia tiketi ya CCM Tabora.




Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya apitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC )kuwa mbunge viti maalum vijana mkoa wa Tabora.
Wengine waliopitishwa ni namba 1. Halima Bulembo 2. Zainab Katimba 3. Mariam Ditopile 4. Mary Kangoye 5. Kizigo 6. Irene Uwoya.
Toa maoni yako.
Chanzo
             Cloudsfm.com

0 comments:

Post a Comment