Tuesday 11 August 2015

#Breaking News>>>Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe


Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe baada ya hali kuwa mbaya wakati akimaliza harakati za kumsindikiza EDWARD LOWASSA kuchukuwa fomu ya Urais kwenye tume ya taifa ya Uchaguzi alipelekwa hospitali baada ya kupata  kizunguzungu  Aug 10 2015 asema yupo safi hayo yote yaliyotokea ni kufanya kazi bira kupumzika na kupelekea kizungu zungu.

0 comments:

Post a Comment