Wednesday 12 August 2015

#YALIYOJIRI>>>Bank ya CRDB yafanya semina kwa watendaji wa halmashauri za Nyanda za Juu Kusini.

Waziri wa Afrika mashariki Dk.Hrrison Mwakyembe ambaye alikuwa mdeni rasmi katika semina kwa viongozi wa Halmashauri za kanda za Nyanda za juu Kusini akifungua rasmi semina.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Bank ya CRDB,Tlly Mwambapa akimkalibisha Mkurugenzi Mtendaji wa Bank ya CRDB,Dk.Charles Kimei kutoa hotuba.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bank ya CRDB,Dk.Charles Kimei akiutubia wakati wa semina viongozi wa Halmashauri za kanda za Nyanda za juu Kusini

Waziri wa Afrika mashariki Dk.Hrrison Mwakyembe wakifurai jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Bank ya CRDB,Dk.Charles Kimei.

Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Bank ya CRDB,Tlly Mwambapa akiwaongoza wageni walio kuja kuimba wimbo maalum wa Bank ya CRDB.

Baadhi ya Wakurugenzi wa Bank CRDB wakiwa katika semina ya Bank ya CRDB ambao ni viongozi wa Halmashauri za kanda za Nyanda za juu Kusini
Toa maoni yako hapa. 
 


0 comments:

Post a Comment