Wednesday 12 August 2015

#YALIYOJIRI>>>Shirikisho la Mpira Tanzania(TFF) limesaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu.

Jamali Malinzi Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) kushoto na mkuu wa Masoko na mawasiliano wa kampuni ya Vodaco Kelvin Twissa kulia wakielekezwa na meneja mausiano.

Jamali Malinzi Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) akiwa anaongea na waandishi wa habari.

Mkuu wa Masoko wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa katikati akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.

Jamali Malinzi Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) kushoto na mkuu wa Masoko na mawasiliano wa kampuni ya Vodaco Kelvin Twissa kulia mausiano wakibadilishana Document

Jamali Malinzi Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) kushoto na mkuu wa Masoko na mawasiliano wa kampuni ya Vodaco Kelvin Twissa kulia mausiano wakisaini mkataba mpya wa miaka mitatu(3).
Toa maoni yako hapa.

0 comments:

Post a Comment