Sunday, 2 August 2015
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Mfanyakazi wa uwanja wa ndege huko Abudhabi amefariki baada ya kipita mbele ya injini ya Airbus A380. Boeing 747-8 (a full length double deck vessel) na kuvutwa na hewa.
#YALIYOJIRI>>>Mfanyakazi wa uwanja wa ndege huko Abudhabi amefariki baada ya kipita mbele ya injini ya Airbus A380. Boeing 747-8 (a full length double deck vessel) na kuvutwa na hewa.
Related Posts:
Breaking News>>>Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo yupo Chini ya Ulinzi wa Polisi. Mh. Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo yupo chini ya ulinzi wa polisi muda huu. Kukamatwa kwake kuna kuja baada ya agizo la spika wa Bunge Job Ndugai kumhitaji afike kwenye kamati ya maadili mjini Dodoma kwa kile kinachoitw… Read More
Mwigulu, IGP Sirro Mmepinga Watu Kumuombea Lissu, Mnataka watu Wafanye nini ? – Mhe. Lema. Baada ya jeshi la polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam kupiga marufuku maandamano ya maombi ya kumuombea Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu. Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia mtandao … Read More
Madiwani wa CCM Wasusia Kikao cha Serikali. Madiwani wa jimbo la Geita wamesusia kikao cha serikali na uongozi wa mgodi wa Geita Gold Mine (GGM) kufuatia kukamatwa na polisi kwa Mbunge na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Geita Mhe. Joseph Msukuma j… Read More
Watu 7 Wamekamatwa Nchini Uganda kwa Kupinga Kikomo cha Umri wa Rais. Takriban watu saba wametiwa nguvuni katika mji mkuu wa Uganda kampala , kufuatia maandamano ya kupinga mapendekezo ya muswada wa sheria unaoondoa kikomo cha umri wa mtu anayegombea urais. Katiba ya sasa inasema kikomo c… Read More
Nimepata Taarifa Polisi Wananitafuta...Sihitaji Kuviziwa - Peter Msigwa. Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa amepata taarifa jeshi la polisi linamtafuta na kusema endapo jeshi la polisi litamwita kwa kufuata utaratibu basi na yeye ata… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment