Monday 3 August 2015

#YALIYOJIRI>>>> vigogo wa ccm wajiunga na Chadema katika kikao katika ukumbi wa Kisange Conference Center jijini Dar es salaam leo.


Matson Chizii, Ole Medeye, Mgana Msindai vigogo wa ccm waliojiunga Chadema katika kikao katika ukumbi wa Kisange Conference Center jijini Dar es salaam leo.

EdwardLowassa akiongea na wajumbe katika Kikao cha Baraza Kuu katika ukumbi wa Kisange Conference Center leo

0 comments:

Post a Comment