Wednesday 12 August 2015

#YALIYOJIRI>>>Siku ya Kimataifa ya Vijana yafanyika Jiji Dar-es-Salaam hii leo.

Haya ni maandamano ambayo yakielekea mnazi viwanja vya Mnazi Mmoja.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana ,Utamaduni na Michezo Profesa Grabiel Ole Sante Akizungumza katika Maadhimisho ya Vijana.

Vijana wakionyesha ushujaa.




0 comments:

Post a Comment