Wakati
Paris Saint-Germain ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa Arsenal kwenye Uwanja
wa Parc des Princes, kesho Jumanne katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kocha
wa Arsenal, Arsene Wenger amewazungumzia mchezaji wake mpya kikosini
kwake, Lucas Perez na Shkodran Mustafi
Wenger ametaka mashabiki
kuwa na subira hasa kuhusu straika wao, Lucas Perez ambaye anahitaji
muda kuzoea mazngira ya klabuni hapo.
Lucas Perez na Ozil (kushoto) wakielekea mazoezini leo.
Ramsay
Shkodran Mustafi
Perez alipata nafasi ya kucheza kwa mara ya kwanza katika mechi ya
juzi dhidi ya Southampton na kuisaidia Arsenal kupata ushindi wa mabao
2-1 dhidi ya Southampton katika Premier League.
"Tumpe muda, tumekuwea tukifunga mabao mengi lakini tumesajili straika mmoja, hivyo tusitoe hukumu mapema,” alisema Wenger.
"Tumpe muda, tumekuwea tukifunga mabao mengi lakini tumesajili straika mmoja, hivyo tusitoe hukumu mapema,” alisema Wenger.
0 comments:
Post a Comment