Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>>UEFA YAPATA RAIS MPYA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Aleksander Ceferin amechaguliwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya (Uefa).
Ceferin, ambaye ni mkuu wa Chama cha Soka nchini Slovenia, amepata
kursa 42 kwenye mkutano maalum ulioanyika jijini Athens nchini Ugiriki,
idadi ya kura 29 zaidi ya mshindani wake Mdachi Michael van Praag.
Msloveni huyo (48), anachukua mikoba iliyoachwa wazi na rais wa
zamani wa shirikisho hilo Mfaransa Michel Platini, ambaye alijiuzulu
baada ya kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka mwaka jana.
Ceferin ataziba nafasi hiyo ya Platini mpaka mwaka 2019 uchaguzi mwingine utakapotishwa.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>HILI NDILO GARI ALILONUNUA MBWANA SAMATA NCHINI UBELIGIJI BEI YAKE NI TSH. MILIONI130.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya KRC
Genk ya ligi kuu ya Belgium – Jupiter League – Mbwana Ally Samatta,
jana kupitia akaunti ya Instagram ameonyesha ‘ndinga’ yake aliyoinunua
baada y… Read More
#MICHEZO>>>TIKETI ZA YANGA VS SIMBA JUMAMOSI, MFUMO MZIMA WA UNUNUZI NA UNUNUE WAPI, SOMA HAPA.
NAMNA YA UPATIKANAJI WA TIKETI MECHI YA YANGA VS SIMBA KUPITIA TIKETI ZA ELEKTRONIK
… Read More
#MICHEZO>>>Ndege BInafsi ya Cristiano Ronaldo Yaanguka, Hakuwemo Ndani.Fahamu zaidi hapa.
Ndege binafsi ya mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ilianguka
wakati ikitua kwenye uwanja wa ndege wa El Prat jijini Barcelona,
Jumatatu. Hakuna majeruhi walioripotiwa.
Kwa mujibu wa ESPN, Ronaldo, aliyekuwa Dor… Read More
#MICHEZO>>>>PICHA:MZIKI WA YANGA VS SIMBA ULIVYOKUWA NA KWISHA KWA SARE YA BAO 1-1.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Yanga
dhidi ya Simba, leo ilikuwa bonge la mechi na limeisha kwa sare ya bao
1-1, Yanga wakianza kufunga kupitia Amissi Tambwe kabla ya Simba
kusawazisha kupitia Shiza Kichuya. Cheki picha za action mambo
yalivyok… Read More
#MICHEZO>>>>SIMBA Vs Yanga: Mabomu ya machozi yalindima Uwanjani.Fahamu zaidi hapa.
Mashabiki wa Simba uzalendo uliwashinda baada ya bao la Amissi Tambwe na
kumua kurusha viti uwanjani wakipinga bao hilo, kutokana na kitendo
hicho askari wa kutuliza ghasia waliamua kurusha mabomu ya machozi
jukwaani.
M… Read More
0 comments:
Post a Comment