Thursday 13 August 2015

#YALIYOJIRI>>>>Mgeja Guninita , watangaza kuamia na chama na CHADEMA.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM,Mkoa wa Shinyanga,Hamis Mgeja akizungumza hii leo.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM,Mkoa wa Shinyanga,Hamis Mgeja akizungumza na waandishi wa habari juu ya kung’atuka katika Chama hicho na kujiunga na Chadema leo katika ukumbi wa Idara ya habari Melezo jijini Dar-es-salaam, Kulia ni John Gudinia.

Aliyekuwa Mwenye kiti wa CCM,Mkoa wa Dar-es-salaam,John Gudinita akitangaza kujiuzuru katika chama hicho na Kujiunga na Chadema leo majira ya saa tano(5) katika ukumbi wa Idara ya habiri Maelezo jijini Dar-es-salam.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM,Mkoa wa Shinyanga,Hamis Mgeja akionyesha alama ya Chadema ya Vidore Viwili.

0 comments:

Post a Comment