Thursday 6 August 2015

#YALIYOJIRI>>>Wilshere kukaa nje ya uwanja zaidi ya mwezi mmoja.




Mchezaji wa Arsenal na Kiungo wa kimataifa wa Uingereza, Jack Wilshere atakua nje ya uwanja zaidi ya mwezi mmoja.
Wilshere amepata ufa katika mfupa wa enka ya mguu wa kulia wakati wa mazoezi siku ya jumamosi .
Kuumia kwa kiungo huyu kutamfanya kuukosa mwanzo wa msimu mpya wa ligi kuu ya England itayoanza jumamosi Agosti 8
Katika msimu uliopita mchezaji huyu alikaa nje ya uwanja kwa miezi mitano akiunguza enka ya mguu wa kushoto.
Tangu ajiunge na Arsenal mwaka 2001 Wilshere amefanyiwa upasuaji mara mbili wa enka kwa miguu yote miwili.

0 comments:

Post a Comment