Friday, 6 January 2017

Yamoto Band watoka mafichoni.Fahamu zaidi hapa.

Akizungumza na eNEWZ Mh Temba amesema alikuwa na mpango wa kuachia kazi yake lakini inabidi asubiri kwanza Yamoto Band watoe kazi zao kwani ni muda mrefu sasa hawajaachia kazi na wananchi wanawasubiri.
 
“Kwa mwezi huu kuachia kazi yangu itakuwa uongo, mwezi huu tunatoa kazi ya Yamoto Band tuna ‘two days remaining’ tutaachia kazi ya Yamoto Band ambazo ni nyimbo mbili itabidi tuzipe kwanza nafasi nyimbo zao kwanza ziende miezi kama miwili hivi ndiyo nitakuja kutoa mimi. Yamoto Band wamekaa sana saizi ni kama wana miezi sita hawajatoa kazi mpya hivyo mahitaji ya mashabiki ni kuwasikia Yamoto Band”. Mh Temba alisema

Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment