Saturday 7 November 2015

#MICHEZO>>>Timu ya Wanawake ya Twiga Stars yatupa raha Watanzania iyoo jana baada kuifunga Timu ya Wanawake ya Malawi.Fahamu zaidi hapa.


Timu ya wanawake ya sokaTwiga Stars  yatupa raha Watanzania baada ya kuifunga Timu ya taifa ya soka ya wanawake, Malawi mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
Katika mchezo huo maalum wa kumuaga mchezaji mwenzao mkongwe, aliyeitumikia timu hiyo kwa zaidi ya muongo mmoja, Esther Chaburuma. ‘Lunyamila’, Twiga ilipata bao moja kila kipindi.
Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo, Asha Rashid Mwalala

0 comments:

Post a Comment