Thursday 5 November 2015

#YALIYOJIRI>>>Rais mpya wa Jamuhuri ya Muungano John Pombe Magufuli ala kiapo katika sherehe za kuapishwa kwenye uwanja wa Uhuru.Fahamu zaidi hapa.

  John Pombe Magufuli akiwa anakula kiapo mbele ya Jaji Muhamed Chande Othmani.
 John Pombe Magufuli akiwa anakagua gwalide.
 Rais aliyemaliza muda wake Jakaya Kikwete akiwa na Davies Mwamunyange wakiwaanga wananchi kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar-es-salaam.
Rais mpya John Pombe Magufuli akionyesha Mkuki na Ngao baada ya kuapishwa.

0 comments:

Post a Comment