Tuesday 10 November 2015

#YALIYOJIRI>>>Ziara za kushtukiza za rais John Pombe Magufuli zaonyesha njia .Fahamu zaidi hapa.

 Rais John Pombe Magufuli akiwa anamsalimia mgonjwa baada ya kuwasili Hospital ya Taifa ya Muhimbili.

Rais John Pombe Magufuli akiwa anamsalimia mgonjwa baada ya kuwasili Hospital ya Taifa ya Muhimbili wakati wa ziara yake ya kushtukiza jijini Dar-es-salaam.

Pia rais wa Jamuuli ya Muungano John Pombe Magufuli amevunja Bodi ya Hospital ya Muhimbili na kuteua Prof.Lawresi Mseru kukaimu nafasi ya mkulugenzi kuu wa Muhimbili.

0 comments:

Post a Comment