Home »
Habari Moto
» Ilikuwa ni mwendo wa majibu ya mkato na mafumbo kutoka kwa Gadner tulipotaka atupe mtazamo wake juu ya hit song "NDI NDI NDI" ya Jay Dee.Fahamu zaidi hapa.
Camera
ya ENewz ilikutana na aliyekuwa mume na pia meneja wa mwanadada Lady
Jay Dee, Gadner G Habash na kutaka kupata mtazamo wake juu ya wimbo mpya
wa Lady Jay Dee uitwao "Ndi Ndi Ndi", hii ni kutokana stori kuzagaa
mitaani kuwa "Ndi Ndi Ndi" ilikuwa ni fumbo kwa Gadner.
Gadner alikataa kuzungumzia chochote kuhusu nyimbo hiyo na kusema "Si
ajabu watu wakinishangaa kwa hili, kama kushangaa watu wanashangaa hata
mlima Kilimanjaro ambao upo kila siku
Related Posts:
Mzee wa Upako amuonya Nay wa Mitego baada ya kudai anakuja na kanisa lake......Asema kana ana Mama Amkanye.Fahamu zaidi hapa.
Baada
ya hivi karibuni msanii wa hip hop, Nay wa Mitego kutangaza kuwa
atafungua kanisa lake ambalo litakuwa si la biashara bali ni la
kumuabudu Mungu aliye hai, Mchungaji maarufu nchini, , Lusekelo Anthony
aka Mzee wa … Read More
WAZIRI Mahiga Abainisha Kisa cha Watanzania Kutimuliwa Msumbiji.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga amesema kuwa
Watanzania waliokuwa nchini Msumbiji wamefukuzwa kutokana na kukiuka
taratibu na sher… Read More
MAKONDA AJIBU MADAI YAKUTUMIA CHETI CHA MTU MWINGINE.Fahamu zaidi hapa.
RC Makonda asema hawezi zungumzia suala la cheti chake cha kidato cha
nne sababu ni habari za kwenye mitandao ambapo kuna maswali na majibu.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari… Read More
Mahakama yaicharukia serikali kesi ya Godbless Lema......Yahoji sababu za mbuge huyo kunyimwa dhamana.Fahamu zaidi hapa.
Mwenyekiti
wa kikao cha jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, kinachoendelea
Arusha, Bernard Luanda, leo amegeuka mbogo kwa wanasheria wa serikali
kwa kitendo cha kumnyima Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema dham… Read More
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Chaipinga TCU, Chasema Hakijawahi Dahili Wanafunzi Vilaza.Fahamu zaidi hapa.
Siku moja baada ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutangaza utata wa
udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wadau wakubwa wa elimu, wamejitokeza
kupinga hatua hiyo. Wadau hao ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UD… Read More
0 comments:
Post a Comment