Nilipokuwa mdogo,nilimuambia baba angu kuwa: “Tutakuwa matajiri na Na tutakuwa na nyumba nzuri na kubwa” , Baba alinijibu : “Mwanangu hyo ni ngumu” … Lkn Leo ninacho kile nilichomuambia baba, lkn sina baba yangu kwa Sasa amefariki dunia bila kukiona kile nilicho muahidi! – Cristiano Ronaldo Nikujuze tu,,, C Ronaldo ni mmoja kat ya wachezaji waliokulia ktk maisha ya kimaskini mno,,, Wameishi kwny nyumba yenye vyumba viwili tu vya kulala mpk alipokuwa akijielewa (balehe) Amechangia chumba yeye na dada zake ht pale alipokuwa timamu,,, (mvulana) Kutokana na hasira na ugumu wa maisha aliyopitia Ronaldo alihakikisha familia yake wanaishi mahali penye nafasi pale alipopata mshahara wa Kwanza tu (professional) Na mpk Sasa amenukuliwa Mara kadhaa akiuchukia umaskini na amekuwa akijitoa Mara kwa Mara kusaidia watu wanaoishi kwny hali ngumu,,, Anazifanyia kazi ndoto zake
Saturday, 16 July 2016
Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>CRISTIANO RONALDO AKIWA NA BABA YAKE MZAZI KABLA YA KUFARIKI.Fahamu zaidi hapa.
#MICHEZO>>>>CRISTIANO RONALDO AKIWA NA BABA YAKE MZAZI KABLA YA KUFARIKI.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#MICHEZO>>>MWADUI YAPELEKA JANGWANI KOMBE LA VPL.Fahamu zaidi hapa. Kocha wa Mwadui FC ametangaza kuikabidhi rasmi Yanga kombe la VPL baada ya kuichapa Simba kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jioni ya leo. Simba watajilaumu kwa kupoteza … Read More
#MICHEZO>>>KOCHA WA ESPARANCA ASEMA YANGA IMETUZOHOFISHA KUENDELEA KATIKA MCHEZO WA MALUDIANO.Fahamu zaidi hapa. Kocha mkuu wa Esparanca Zoram Manojlovec (kulia) amesema timu yake inanafasi ndogo ya kufuzu hatua ya makundi kombe la shirikisho ukilinganisha na Yanga Kocha wa GD Sagrada Esperanca Zoram Manojlovec anasem… Read More
#MICHEZO>>>>BAADA YA SAFARI YA MILIMA NA MABONDE, HATIMAYE LEICESTER YAKABIDHIWA NDOO YA EPL.Fahamu zaidi hapa. Leicester City wamesherekea ubingwa wao wa Premier League ambao ni wa kwanza katika historia ya klabu hiyo tangu ilipoanzishwa miaka 132 iliyopita. Furaha hiyo imechagizwa na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Everton kweny… Read More
#MICHEZO>>>VIDEO: MAGOLI YA YANGA WALIVYOIUA SAGRADA ESPARANCA. Magoli ya Simon Msuva na Matheo Anthony yameiweka yanga kwenye mazingira mazuri ya kufuzu kucheza hatua ya makundi ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika. Yanga wamepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sagrada… Read More
#Breaking News>>>Mtaa wa Msimbazi kumenuka hivi sasa huku vijana wa Simba wakiwa wanaandamana. … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment