Friday, 11 November 2016

#BURUDANI>>>>Amber Lulu: Sijiachii Utupu Ili Nitamaniwe.Fahamu zaidi hapa.

MWANAMITINDO ambaye pia ni muuza nyago kwenye video za Kibongo, Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ ameweka wazi juu ya picha anazoposti kwenye mitandao ya kijamii zinazomuonesha akiwa nusu utupu kuwa haweki hivyo kutamanisha wanaume.

Akizungumza na Global TV Online kupitia kipindi cha Exclusive Interview mchana wa leo, Amber ambaye ametokea kwenye video kibao za Kibongo ikiwemo Too Much ya Darassa na Inde ya Dully alisema, wapo watu wengi wamekuwa wakimtumia meseji kwa kumtamani kisa wameona picha zake.

“Mi naposti kwa ajili ya biashara za nguo, navalishwa na kampuni then ninapoposti nguo ile inakuwa sokoni sasa kuna watu wengine wanakuja juu kwa kunitamani sa nawashangaa huko kunitamani vipi?,” alisema Amber.

Amber pia alizungumza juu ya mastaa aliotoka nao kimapenzi hadi sasa na kusema kuwa wanazidi 100

 Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 
<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>

Related Posts:

  • Sakata la Diamond Kudaiwa Mil 400 na TRA lafika Hapa. Siku chache tangu Mbunge wa Jimbo la Mikumi Professa Jay kupaza sauti yake kuhusu makadirio makubwa ya kodi anayotakiwa kulipa Mwanamke anayewika nje na ndani ya nchi  katika muziki wa bongo Flavor Diamond  Pla… Read More
  • Picha: Zari atua hospital kumjulia hali ex wake Ivan.Mama watoto wa Diamond, Zari the Bosslady ameonekana katika picha akimjulia hali ex wake Ivan Ssemwanga ambaye anadaiwa kulazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini baada ya kupata matatizo ya moyo. Zari akiwa hospi… Read More
  • TANZIA: Dogo Mfaume Hatunaye Tena. Msanii wa muziki wa bongo fleva, Dogo Mfaume ambaye aliwahi kutamba na nyimbo kama 'Kazi Yangu Ya Dukani' amefariki dunia jana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akiendelea kupatiwa matibabu. Dogo Mfau… Read More
  • Rayvanny afunguka mema Sugu aliyomtendea.Msanii Rayvanny amesema Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ni mtu ambaye ameshiriki kwa kiasi kikubwa katika video yake ya ‘Zezeta’ ambayo ipo mbioni kutoka. Rayvanny Rayvanny amesema Sugu ndiye alimpa idea … Read More
  • Jack Wolper Aongoza Mastaa Kwa Kuhongwa. ONFESSION! Staa mwenye umbo na muonekano wa ‘kokoro’, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amekiri kuwa hakuna msanii wa kike anayeongoza kwa kuhongwa vitu vya thamani na gharama kubwa zaidi yake, Ijumaa tunakutiririshia ay… Read More

0 comments:

Post a Comment