Tazama hapa moja kwa moja kutoka Bungeni, Bunge la kumi na moja, kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kisha maswali ya kawaida kwa Serikali. Bofya hapa kutazama
Thursday, 3 November 2016
Home »
Habari Moto
» #Live>>>Maswali na majibu kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma.
#Live>>>Maswali na majibu kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma.
Related Posts:
#Breaking News>>>>Kiwanda cha Magodoro Dodoma kinateketea na moto hivi sasa.Fahamu zaidi hapa. AJALI YA MOTO: Kiwanda cha magodoro cha Quality Foam QFL Magodoro Dodoma kilichopo Mikocheni jijini Dar, kinateketea kwa moto muda huu. Kwa habari zaidi endelea kufatilia hii blog "www.hebronmalele.blogspot.com" … Read More
Joseph Mungai Kuwagwa Leo Dar...Mwili wa Samwel Sitta Kuwasili Leo.Fahamu zaidi hapa. Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Elimu, Joseph Mungai unatarajiwa kuagwa Dar es Salaam leo katika viwanja vya Karimjee. Akizungumza na waandishi wa habari jana, mtoto wa marehemu, William Mungai alisema ibada … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Msajili wa vyama vya siasa Tanzania, avifutia usajili Vyama Vitatu.Fahamu zaidi hapa. Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi ametangaza kuvifutia usajili vyama vitatu baada ya kubainika kukiuka sheria ya usajili wa vyama. Vyama hivyo ni pamoja na CHAUSTA kilichopata usajili wa… Read More
Undani wa Kifo cha Mzee Joseph Mungai.Fahamu zaidi hapa. Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani wa Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne, Joseph Mungai, amefariki dunia. Mungai aliyezaliwa Oktoba 24,1943 alifariki dunia Dar es Saalam jana baada ya kuugua k… Read More
Ratiba ya Mazishi ya Spika Mstaafu, Samwel John Sitta. Mwili wa aliyekuwa spika wa bunge, Samuel Sitta unatarajia kuwasili nchini siku ya Alhamis ukitokea nchini Ujerumani ambapo alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa hiyo imetolewa na Gerald Mongela ambaye ni msema… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment