Watu 17 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye namba za usajili T232BQR iliyotokea jana usiku katika kijiji cha Nsalala mkoani Shinyanga.
Sunday, 6 November 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Ajali Mbaya ya Noah na Lori la Mizigo Yaua watu 17 Mkoani Shinyanga.Fahamu zaidi hapa.
#YALIYOJIRI>>>Ajali Mbaya ya Noah na Lori la Mizigo Yaua watu 17 Mkoani Shinyanga.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Umati wa Watu Wakesha Wakisubiri Kupatwa Kwa Jua.Fahamu zaidi hapa. Umati wa watu umepiga kambi eneo la Rujewa, wakisubiri tukio la kupatwa kwa jua kipete linalotokea baadaye leo. Katika eneo hili ambalo awali halikuonekana kuwavutia wapita njia hata kufaa kutumika kama sehemu ya kujiburu… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba.Fahamu zaidi hapa. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kufuatia mvutano wa kusimamishwa uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ib… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Serikali Yashikilia Msimamo Kupinga ndoa za Jinsia Moja.Fahamu zaidi hapa. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kushikilia msimamo wake wa kupinga ndoa za jinsia moja,kuongeza uwigo wa uhalalishaji wa utoaji mimba,adhabu ya kifo,kuweka sera ya kutonyonga wanaokutwa na adhabu y… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Kamati ya Bunge yaibana Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi.Fahamu zaidi hapa. Wabunge wameibana Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) kwa kuongeza posho na kufikia jumla ya Sh1 bilioni katika kipindi kifupi kiasi ambacho hakilingani na kazi wanayoifanya. Kwa kipindi kir… Read More
#YALIYOJIRI>>>Cheyo: Rais Magufuli ni Rais aliyesubiriwa tangu kuanza kwa uhuru.Fahamu zaidi hapa. Na: Lilian Lundo-Maelezo Mwenyekiti wa Chama cha UDP John Cheyo amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni Rais aliyesubiriwa kwa muda mrefu tangu kuanza kwa Uhuru. Cheyo ameyasema hayo alipokuwa akielezea… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment