Gari la Mbunge wa Manonga Igunga, MH Seif Gulamali. Limepata ajali
maeneo ya Ibologero likiwa na dareva wake pamoja na kijana mwingne,
wakati wakirudi toka Mwanza walikompeleka mbuge huyo na kumwacha.
Wakati dereva anarudi Igunga na mwenzake bila kuwepo Mbunge huyo, Wakapata ajali, na wote wawili wametoka salama
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza HapaFollow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment