UTOTO unaonekana kumtesa muuza sura kwenye video za wasanii wa Kibongo,
Tunda Sebastian ambaye licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtu
mwingine, ameibuka na kudai anampenda ‘kufa mtu‘ msanii wa Nigeria,
Wizkid.
Akizun-gumza na Risasi Vibes, mwanadada huyo alisema kuwa amekuwa
akimzimia jamaa huyo kwa muda mrefu na ndoto zake ni siku moja kuwa naye
kwenye uhusiano wa kimapenzi.
“Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kiukweli ninampenda Wizkid. Ni bora niweke
wazi maana hata nisiposema nitabaki naumia tu moyoni,” alisema Tunda.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment