Thursday 17 December 2015

#HABARI>>>Serikali yatangaza kuanzia Januari 2016 wasanii watalipwa na Televisheni na vituo vya redio vitakavyokuwa vinatumia nyimbo zao.Fahamu zaidi hapa.

Kuanzia mwakani wasanii watalipwa na radio na TV kwa nyimbo zao au tamthiliya kuonyeshawa. Hii imefikiwa leo kwa ushirikiano wa Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Habari na Sanaa.
Na bado mambo mazuri yanaandaliwa kwa wasanii ili wafaidike na kazi zao kwenye kila sehemu zitakapotumika.

Magufuli aliwaambia wasanii sitowatumia ila nitawasaidia. Anaanza kutimiza mambo yake.

0 comments:

Post a Comment