Tuesday 8 December 2015

#YALIYOJIRI>>>Leo Rais John Magufuli ameongoza Watanzania kutumia Siku ya Uhuru kufanya usafi, yuko eneo la ufukwe karibia na Ikulu akifanya usafi.

 Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli na 'First Lady' Mama Janeth Magufuli wakishiriki pia katika zoezi la kufanya usafi katika sikukuu ya Uhuru.

0 comments:

Post a Comment