Sunday 13 December 2015

#MICHEZO>>>Arsenal yaendelea kutoa dozi ligi kuu Uingereza.Fahamu zaidi hapa.

 Timu ya Arsenal leo imeendeleza usindi wake baada ya kutoka katika mchezo wake wa UEFA ambao alishinda,Ivi leo tena ameonekana mwiba akiwa katika ligi ya nyumbani kwa ushindi wa goli mbili 2 kwa bila.
 MSIMAMO WA LIGI YA UINGEREZA BAADA YA MICHEZO YA LEO DECEMBER 13
 Matukio ya picha katika mchezo wa leo.

0 comments:

Post a Comment