Tuesday 8 December 2015

Usiku wa leo ndani ya Escape One Mikocheni Dar es salaam utakua usiku wa zile selfi 16 kusherehekea miaka 16 ya Clouds ambapo pia Koffi Olomide kutoka Congo DRC atakuepo kuiachia burudani kwenye stage akiwa na dancers wake wote kama anavyoonekana nao kwenye hizi picha baada ya kutua Dar es salaam.

 December 8 2015 usiku Escape One Mikocheni Dar es salaam utakua usiku wa zile selfi 16 kusherehekea miaka 16 ya Clouds ambapo pia Koffi Olomide kutoka Congo DRC atakuepo kuiachia burudani kwenye stage akiwa na dancers wake wote kama anavyoonekana nao kwenye hizi picha baada ya kutua Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment