Sunday, 10 April 2016

Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar.Fahamu zaidi hapa.

Aliyekuwa mgombea Mwenza wa CHADEMA/UKAWA, Amerejea Cuf hii leo. Haji alikuwa mgombea Mwenza wa Edward Lowassa katika Uchaguzi wa 2015 wakipeperusha Bendera ya CHADEMA

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment