Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.
Sunday, 10 April 2016
Home »
Habari Moto
» Mwanamuziki Roma Mkatoliki Kafunga ndoa Jana Kwao Tanga.Fahamu zaidi hapa.
Mwanamuziki Roma Mkatoliki Kafunga ndoa Jana Kwao Tanga.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Wabunge Wa CCM Wakutana Dodoma.Fahamu zaidi hapa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) ambaye ndie mwenyekiti wa kikao maalum chenye kutoa semina elekezi kwa wabunge wa CCM, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe. Philip Mangula na Katibu … Read More
MAGAZETI YA LEO JUMANNE 19 JANUARY 2016 YAKO HAPA. … Read More
#YALIYOJIRI>>>Matokeo Ya Kidato Cha Pili Yaingia Dosari......Wamiliki Wa Shule na Vyuo Wataka Mfumo wa GPA Ufutwe.Fahamu zaidi hapa. WAMILIKI wa Shule na Vyuo Visivyo vya Serikali wameiomba Serikali kufuta mfumo wa GPA unaotumiwa na Baraza la Mitihani (Necta) kupanga madaraja ya mitihani ya sekondari, kwa maelezo kuwa haufai kwa kuwa unahalalisha wa… Read More
#YALIYOJIRI>>>Bavicha Wataka Chama Cha Mapinduzi Kifutiwe Usajili Kwa Kuwa Kimeonyesha Ubaguzi wa Rangi Zanzibar.Fahamu zaidi hapa. Baraza la Viajana wa Chadema (Bavicha) limemtaka msajili wa vyama vya siasa nchini kutoa tamko kuhusu vitendo vya ubaguzi wa rangi vilivyooneshwa na baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa shere… Read More
Breaking News>>>>Hali si Shwari Dar es Salaam eneo la Mkwajuni,Wananchi Waliovunjiwa Nyumba Zao Wafunga Barabara Kwa Mawe na Kuchoma Moto Matairi.Fahamu zaidi hapa. Hali si shwari katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, Wananchi waliobomolewa nyumba zao wamefunga barabara na kuchoma moto mataili pande zote za barabara Jeshi la Polisi l… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment