MWANAMKE adaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa jirani yake.
Hekaheka ya leo June 19, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM imetokea
Sinza DSM ambapo mwanamke mmoja anadaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa
kiume wa jirani yake mwenye umri wa miaka minne akidai amembaka binti
yake wa …Read More
Meya wa Ubungo Boniface Jacob Amekamatwa na Polisi.
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa
ajili ya mahojiano hata hivyo sababu za kuchukuliwa kwake bado
hazijawekwa wazi.
Tukio limetokea leo Jumatatu saa sita mchana katika makao makuu ya wi…Read More
0 comments:
Post a Comment