Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>>Baada ya Diamond kumpost Wema Sepetu Instagram, Wema afunguka juu ya hilo.Fahamu zaidi hapa.
Jana Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz alipost picha ya Wema
Sepetu katika ukurasa wake wa Instagram akiwataka watu wajitokeze
kumsupport katika tamasha. Pamoja na Wema Sepetu, Diamond alimpost pia
Idris Sultan na Christian Bella.
Diamond Platnumz aliandika hivi “Make sure ya’ all go Support Christian Bella X Wema Sepetu X Idris Sultan na wengine wakali kibao katika Usiku wa #BlackTie pale King Solomon Hall tareh 9 / 07 /2016!!! It’s all about Black and Everything!”
Hii hapa ndiyo picha iliyowekwa kwenye ukurasa wa Diamond Platnumz
Wema Sepetu alipohojiwa kuhusu kitendo hicho alisema kuwa amefurahi
sana na kuona kama kuna mzigo alioutua kwani watu walikuwa wakitumia
tofauti zao za kutengenezwa kama faida kwao ili kupata wafuasi
(Followers).
Aidha, ameeleza kuwa yeye ni shabiki wa Diamond Platnumz na amekuwa
akisikiliza nyimbo zake hata baada ya wao kuachana. Amesema kuachana
kwao hakumfanyi asiwe shabiki wake.
Alieleza kuwa kwa muda sasa amekuwa akijizuia kuimba nyimbo za
Diamond akiwa kwenye public lakini ameona kuwa anajikomoa yeye mwenyewe
kwani akirudi kwenye gari lake huwa anaimba. Kwake amesema kuwa kitendo
hicho kinaondoa uongo uliokuwa unasemwa kwamba wawili hao wana bifu
zito.
Related Posts:
Baada ya Sekeseke la Madawa ya Kulevya Kutulia,TID Aamua Kumtaja Tena Diamond..!!!..Fahamu zaidi hapa.
Kwa sasa msanii TID Mnyama anahakikisha anarudisha makali yake ya zamani
kwenye muziki. Muimbaji huyo amewaahidi mashabiki wake kufanya kazi na
Diamond hivi karibuni.
Akiongea kwenye kipindi cha XXL, kupitia Clouds FM… Read More
Hii Ndio Barua Nzito Aliyoandika Shamsa Ford Kwa Mumewe Ambaye Amehusishwa na Kesi ya Madawa ya Kulevya.Fahamu zaidi hapa.
Hakika ukipata mwanamke Kama huyu usimuache… Na huu ndio ujumbe wa shamsa kwa mumewe .Shamsa Ford ameandika Haya:
Nilipoolewa nilijua ipo siku nitapitia hivi vitu huzuni,furaha,
maudhi, kudharauliwa, kuchekwa na nk.ila p… Read More
Rasmi..Flora Mbasha Achumbiwaaa.Abadilisha Jina la Mbasha Sasa Anataka Aitwe Jina Hili..!!!.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya wanandoa ambao ni wanamuziki maarufu wa nyimbo za Injili,
kuingia katika mzozo miaka minne iliyopita, mmoja wao Flora Mbasha
amechumbiwa na anatarajiwa kufunga ndoa ya pili hivi karibuni mkoani
Mwanza.
… Read More
Wolper Afunguka Kulewa Pati ya Mtoto wa Diamond..Nillan.Fahamu zaidi hapa.
BAADA ya kuwa ‘topic’ kwenye sherehe ya 40 ya mtoto wa Nasibu Abdul
‘Diamond’, Nillan iliyofanyika hivi karibuni, Muigizaji Jacqueline
Wolper ameibuka na kusema katika maisha yake yote hajawahi kulewa.
Lich… Read More
Jokate akutana na Mastaa Jay Z na Beyonce nchini Marekani.Fahamu zaidi hapa.
Asubuhi
ya leo, mrembo Jokate Mwegelo kutoka nchini Tanzania amepokea pongezi
kutoka kwa watu mbalimbali baada ya kuchapisha picha kwenye kurasa zake
za Insagram na Twitter akiwa pamoja na wanamuziki maarufu duniani.
… Read More
0 comments:
Post a Comment