TBT mtu wako wa nguvu nikiwa nje ya chumba nilichokua naishi kwa miaka mitatu 2005-2008 Keko Machungwa Dar es salaam toka wakati naanza kazi ya Utangazaji/Uandishi kwenye Radio na Gazeti la #MsemaKWELI Hakijawahi kuwa na umeme kwa miaka yote, pamoja na yote sikuwa na neno kuishi hapa… jirani yangu alikua Bwana @yonathanlanda ndio mambo ya kupasi, kuchaji simu na kuangalia TV nilikua nilimalizana nayo kwake, tusikate tamaa watu wangu, kama una nia… hapo ulipo unapita tu.
Friday, 1 July 2016
Home »
Habari Moto
» TAZAMA Nyumba Aliyokuwa Anaishi Mtangazaji Millard Ayo Kabla Mambo Hayajamyookea.Fahamu zaidi hapa.
TAZAMA Nyumba Aliyokuwa Anaishi Mtangazaji Millard Ayo Kabla Mambo Hayajamyookea.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#Breaking News>>>Mtoto wa Diamond Platnumz aleta udhamini. … Read More
#YALIYOJIRI>>>MAALIMU SEIF AFUNGUKA KUUSU AMLIPUA PROF.LIPUMBA . … Read More
#YALIYOJIRI>>>List ya vigogo walio ng’oka CCM hii wakiwemo Rage, Makala, Malima. … Read More
#Breaking News>>Ajali ya moto yaikumba Bajaji ikiwa safarini huko Korogwe. Ajali hii imetokea majila ya saa 5 asubuhi ikiwa Bajaji inatembea cha kumshukulu mungu ni wote waliopanda kwenye iyo Bajaji wamepona. … Read More
#YALIYOJIRI>>JANET MBENE NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIGAE CHA MKOANI MBEYA. … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment