Viongozi
mbalimbali wa klabu ya Simba wakiongozwa na Rais wao, Evans Aveva
wamefika katika eneo la Bunju jijini Dar es Salaam, kufanya ukaguzi wa
maendeleo ya ujenzi wa uwanja wao.
Ujenzi
wa uwanja wa mazoezi wa Simba unaendelea katika eneo la Bunju jijini
Dar es Salaam, Aveva aliwaongoza baadhi ya viongozi na wanachama kufanya
ukaguzi huo, iyoo jana.
Tetesi...Niyonzima Asaini Simba Sc Kwa Dau la Milioni 110.
SIMBA imeamua kufanya kufuru katika usajili wake kwa ajili ya msimu ujao
wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ambapo inasemekana wametumia dau la Dola
50,000 za Marekani (Sh mil 110) kwa ajili ya kumng’oa kiungo
mshambuliaji wa Y…Read More
Sababu iliyomfanya Cristiano Ronaldo Atake Kuhama Real Madrid.
Staa wa soka wa Kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania
Cristiano Ronaldo licha ya kutetewa na club yake ya Real Madrid
kuhusiana na tuhuma za ukwepaji kodi zinazomkabili, ameripotiwa
kufikiria kufanya ma…Read More
0 comments:
Post a Comment