Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa ameshirikiana na Alikiba. Video ya wimbo huo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika tamasha la Fiesta lililofanyika Jumamosi hii. Video imeandaliwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.
Sunday, 6 November 2016
Angalia Video mpya ya Ommy Dimpoz ft Alikiba inayoitwa "Kajiandae".
Related Posts:
Angalia Video mpya ya PSquare Bring it On ft Dave Scott. … Read More
Angalia video mpya ya Galatone Sina Mali hapa. … Read More
Angalia Video mpya ya kundi la Mr Blue(B.O.B Micharazo) inayoitwa Kazi kwanza. … Read More
Angalia video mpya hapa. … Read More
Angalia Video mpya ya Emanuel Austin feat Ben Pol inayoitwa Ruka Juu. … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment