Msanii Jux amejibu kuwa hajui kama atakuwa na mtoto na Vanessa wala hajui kama atamuoa, ila amesema Vanessa amemsaidia kwenye maisha yake kwa kuwa kuna vitu anavijua na yeye havijui Msikie Hapa:
Thursday, 3 November 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>> Majibu ya Jux Alipoulizwa Kama ana Mpango wa Kumuoa Vanessa au Kuzaa Nae.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>> Majibu ya Jux Alipoulizwa Kama ana Mpango wa Kumuoa Vanessa au Kuzaa Nae.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#BURUDANI>>>Rubby Atangaza Kujisimamia Mwenyewe Baada ya Kutemana na Clouds FM, Adai Sasa ni yeye na Mashabiki wake.Fahamu zaidi hapa. Msanii wa Bongo Fleva, mwanadada Ruby ambaye amewahi kutamba na wimbo wake wa “Na Yule’ amefunguka na kusema kwa sasa amebadili uongozi wake na kujisimamia yeye kwani anataka kusimama yeye pamoja na mashabiki zake. Ruby… Read More
#BURUDANI>>>>>Mimi Sishindani na Mtu yeyote - Baraka The Prince.Fahamu zaidi hapa. Msanii Baraka The Prince ambaye ameachia kazi yake mpya yenye jina la 'Nisamehe' amefunguka na kusema kuwa katika muziki hakuna mtu ambaye anashindana naye kwa kuwa yeye anasimama mwenyewe na aina ya muziki anaofanya hau… Read More
#BURUDANI>>>>FIESTA Yarudisha Penzi la Shilole na Nuh Mziwanda.Fahamu zaidi hapa. Wapenda Kunyapia nyapia Udaku wa Mastaa wa Bongo wameachwa njia panda baada ya mastaa Nuh Mziwanda na Shilole kuanza tena kuwa karibu kwa kupostiana kwenye page zao za mitandaoni, Wawili hao ambao siku za njuma wal… Read More
#BURUDANI>>>>Kinywaji Kilichopewa Jina ‘Poteza Ubikira’ Chazua Gumzo China.Fahamu zaidi hapa. Kinywaji maarufu kwa jina ”blackout in a can’ nchini Marekani kimeingia nchini China na kuzua gumzo kwa watumiaji wa kinywa hicho. Four Loko , ni kinywaji kilicho na ladha ya matunda na asilimia 12 ya pombe kilitumika sa… Read More
#BURUDANI>>>>Meneja wa Diamond azungumzia Ali Kiba kufanya show kwa kushtukiza kwenye jukwaa moja na Diamond Kenya.Fahamu zaidi hapa. International Meneja wa Diamond Platnumz ‘Sallam Sk’ ameongea na Sammisago Kupitia ENews leo kuhusu Ali Kiba kufanya show kama msanii wa kushtukiza kwenye jukwa moja na Diamond Platnumz. Sallam anasema “Sisi hatu… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment