Muziki wa Ali Kiba ni Mzuri Zaidi ya wa Diamond- Faiza.
Muigizaji wa Filamu Bongo, Faiza Ally amefunguka kuupa zaidi muziki wa Alikiba kuliko ule wa Diamond.
Faiza amesema hayo katika mahojihano na TBC Fm kwa kueleza kuwa Diamond
ni mburudishaji wa jumla aliyeleta mapinduzi ya …Read More
Amber Lulu Afunguka Kuhusu Beef Lake na Gigy Money.
Msanii wa muziki na video vixen Bongo, Amber Lulu amedai kuwa hana beef
na Gigy Money kama ambaavyo imekuwa ikiripotiwa mtandaoni.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Only You’
amesema ni kweli wame…Read More
0 comments:
Post a Comment