Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali mke wake, Mama Janeth Magufuli, ambaye
amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali mke wake, Mama Janeth Magufuli, ambaye
amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye
amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na
wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe
ambaye anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi alipokuwa akitoka Sewa Haji katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea
wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu.leo Novemba 10, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwafariji baadhi ya wagonjwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali
ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea kuona wagonjwa
pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu hapo leo Novemba 10,
2016.Picha na IKULU
Related Posts:
Kwa Mara ya Kwanza Leo, CCM Wakiri Hali Mbaya ya Njaa Huku Wakirusha Dongo Kwa Vyama Vya Upinzani..!!..Fahamu zaidi hapa.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewasihi viongozi wa vyama vya
wapinzani kujikita katika siasa safi na uongozi bora, kwa kuachana na
matamko ya uongo yanayosababisha taharuki katika nchi na kuchonganisha
wananchi na serikal… Read More
Lema na Mkewe Wakana Mashitaka Dhidi Yao......Mawakili Wake Waomba Kesi Ipelekwe Mahakama ya Katiba.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge
wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) jana alikana tuhuma za makosa
ya jinai kwa pamoja na mkewe, Neema, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Arusha.
Mbele
ya Hakimu Mkazi, Nestory Barro, Lema na Neema walikana… Read More
Laana Tupu!! Kaka Mtu Akamatwa kwa Kumbaka na Kumtoa Usichana Dada Yake wa Miaka 4..!!!..Fahamu zaidi hapa.
YAWEZEKANA ikawa ni moja ya
sababu ya mvua kuchelewa kunyesha mkoani Iringa tofauti na
ilivyozoeleka miaka mingine ni kutokana na laana kama hizi&nbs… Read More
Matokeo ya Kidato cha Pili Yatangazwa....... St. Franscis, Kilimanjaro Islamic na Kaizerege Zaongoza.
Baraza
la Mitihani nchini – NECTA limetoa matokeo ya mitihani ya upimaji kwa
wanafunzi wa darasa la nne kwa shule zote za msingi nchini pamoja na ule
wa kidato cha pili kwa wanafunzi wa shule za sekondari yanayoonesha
… Read More
Serikali Yatoa Tahadhari Kuhusu Mafua Ya Ndege.Fahamu zaidi hapa.
Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewatahadharisha
Watanzania juu ya kuwapo kwa virusi vya ugonjwa wa mafua ya ndege.
Ugonjwa
huo umegundulika kuwapo katika nchi jirani ya Uganda amba… Read More
0 comments:
Post a Comment