Rais
Dkt. John Pombe Magufuli (wa nne kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya
tatu, Mh. Benjamin Mkapa (wa tatu kushoto), Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt.
Mohamed Gharib Bilal (wa tatu kulia), Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick
Sumaye (kushoto), Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma
Kikwete (kulia) pamoja na viongozi wengine wakifatilia wasifu wa
Marehemu Mzee Mungai, uliokuwa ukisomwa na Mtoto wake Mkubwa, Jimmy
Mungai.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole mjane wa Marehemu Mzee Joseph Mungai.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee kulikofanyika shughuli ya kuaga mwili wa Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo Jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali waliohudhulia shughuli ya kuaga mwili wa Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo Jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na waombolezaji wengine wakiwa tayari kwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akitoa taarifa ya awali na kutoa muongozo wa namna shughuli ya kuaga inavyotakiwa kufanyika.
0 comments:
Post a Comment